“I Do” moja ya tukio muhimu katika maisha ya wapendanao
lazima lipambwa kwa ufanisi wa hari ya juu sana. Safari hii tukio la ndoa ya Mwenyekiti
Mtendaji wa IPP Limited Dr. Reginald Mengi na Jacqueline Ntuyabaliwe ndio
habari ya mjini na mitandao.
Harusi hii ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya
Mauritius mwisho wa mwezi March 2015 ilipambwa kwa rangi nyeupe na tunaezaiita ‘White’
& ‘Cream’ kama rangi ya Familia ya Mr. & Mrs R. Mengi.
Hizi ni Picha Exclusive kwa Hisani ya BONGO5.com