Kwa fasi ya Sea Cliff Hotel siku ya J'mo Tarehe 22 tukio zima la kuwapata ma'models watakao husika kakita SWAHILI FASHION WEEK 2014 ndo lilihusika na hii ni pande ya show ya jijo kwajiri yako mdau wa RANGI YA AFRIKA.
Fans wa Martin Kadinda na Mohammed Hasanali walipafurahi sana kuwaona wakiwa ni majaji hawa rolemodels wao.
Martin Kadinda kwa mbali akiwa meza ya majaji |
baadhi ya wadada walojitokezakatika tukio |