Katika zile harakati za kukuhabarisha na kuhakikisha unaburudika katika rangi nzuri hapa nimekuwekea picha zinazoitwa kwa jina maarufu 'SELFIES'.
Kama ulidhani ni wewe pekee unayependa mtindo huu wa picha basi hii ndo habari, wanajeshi nao ni noma kwa selfie....
Kama ulidhani ni wewe pekee unayependa mtindo huu wa picha basi hii ndo habari, wanajeshi nao ni noma kwa selfie....
Kiongozi wa serikari, Benjamin Netanyau na askari wake |
Askari wa kikosi cha anga cha uswizi |
Askari wa kujitolea na mpenzi wake uko Kiev |