Wednesday, October 8, 2014

MPYA YA CRISS WAMARYA.

 

"huu ndio ujio wangu mpya" haya ndio maneno ya msanii Criss Wamarya, msanii anaenedelea kuvuma katika maskio ya wapemzi wa bongo flava. Wimbo unaitwa CHEUSI MANGALA kazi toka studio za MAZUU RECODS.

"Ni wimbo wangu wa 3 kuachia toka kilomita 6" hii pia ni nukuu ya Criss aliponielezea kuhusu ujio wake huu tena katika gemu ya blogoflava.

ZIADA 

a.k.a ya Criss ni SHINE STAR..

 

(c) Copyright Zed Ent. (T)