Halla kwa fans wote tunaotoa support kwa wana wetu kibongobongo
kwenye hii game ya Rap HipHop. So kwa mara nyingine msanii ambaye
kashasound kwa boofer za kitaa, TRIPLE D ame'release video yake mpya
akiwa amemshilikisha msanii BURNY KEYS na ngoma ndo hii inakwenda kwa
jina la: HUSTLE