Friday, January 4, 2013

SAFARI YA MWISHO YA SAJUKI.


SAJUKI 1985 - 2013
Leo, tarehe 4 jan, imeshuhudiwa ikiwa ndio safari ya mwaisho ya mwigizaji wa Tanzania, Juma Kilowoko maarufu kama SAJUKI.
Mwili wa marehemu ulitolewa hospitali Muhimbili na kupelekwa nyumbani kwake  kisha msikitini Kariakoo kwa ajiri ya ibada ya mwisho kabra ya kuzikwa ktk makaburi ya Kisutu.

Miongoni mwa wa sanii walioudhuria: Masanja na Linex.
Pamoja na hao walikuepo A.Y, Zola D, Mwana FA na wengine wengi.
 
Umati wa watu waliofika kwenye mazishi.

Mahali alipozikwa.
Marehemu alifariki 2 Jan na kuzikwa leo 4 Jan 2013.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHARI PEMA PEPONI AMEN