Tuesday, January 1, 2013

HUU NDO UJIO WA LADY QUEEN

Kwa jina anaitwa Queen Esthon, muite LADY QUEEN. Ni binti mdogo kabisa ambaye anadai amekuja kufanya Mapinduzi ya kweli katika Mziki Hapa BONGO Hili alina masihara ndani yake, kwani Queen kashakuekea Track moja 'HOT' kwenye Media. Track yake hiyo inaokwenda kwa jina la LONLY ambayo anaomba muipokee na mumpokee kama msanii chipkizi. Skiliza na download kwenye link hapa chini Track: Lonly Artist: Lady Queen Product: Roccana Bassement Pruduce: Rash Don