Monday, December 31, 2012

AFCON 2013: IVORY COAST YATAJA 23, NANI NDANI NANI OUT!?

Sabri Lamouchi, Kocha Mkuu, ametangaza Kikosi chake cha Wachezaji 23 kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013 yatakayochezwa Nchini Afrika Kusini kuanzia Januari 19 hadi Februari 10.

Kikosi hicho kinajumuisha Majina makubwa katika Soka wakiwemo Yaya Toure, Mchezaji Bora Afrika, na Straika hatari Didier Drogba.

Kwa maelezo zaidi bofya www.michezozaidi.blogspot.com
[Newz kwa Hisani ya michezozaidi.blogspot ]