Tuesday, January 1, 2013

2012: MIAKA SABA YA T.H.T

MWAKA 2012 ULISHUHUDIWA NA MATUKI MENGI HASA YA BURUDANI PALEE UWANJA WA TAIFA WA BURUDANI, DAR LIVEMBAGALA.
KATIKA HAYO YOTE, JUMBA LA SANAA T.H.T NAO WAKAFUNIKA NA HILI; SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 7.
 
HII NI MKUSANYO WA VIONJO VYA YALOTUKIA. 
 
(HERI YA MWAKA MPYA)
 

mhh..

Mataaluma


Mwasiti nae ndani





Barnaba akipagawisha


Barnrba na Amini

Vijana wenyewe


dj Bulla on the machine


Diva 'kamamimi'


Shilole akipagawisha watu




Familia ya T.H.T


Dito akitoa gwala kwa fans