Jina lake halisi ni Izacka Chaula, mwenyeji wa Kibena Njombe.
Ameanza muziki mwaka 2001, role model wake akiwa ni Eminem na hapa nyumbani bongo ni 'Mtoza Mc' ambye kwa sasa anaunda nae kundi lijulikanalo kama 'Michano lukuki'.
![]() |
| MKALI WA WIKI |
djZburudani™
Kwa jina la kazi anafahamika kama Chella.Jina lake halisi ni Izacka Chaula, mwenyeji wa Kibena Njombe.
Ameanza muziki mwaka 2001, role model wake akiwa ni Eminem na hapa nyumbani bongo ni 'Mtoza Mc' ambye kwa sasa anaunda nae kundi lijulikanalo kama 'Michano lukuki'.
Anasema, ''Mbele huwa najisikia raha xana ninavyo msikiliza eminem''.
Nyimbo yake ya kwanza kurecord ilikuwa October 2010 akiwa kidato cha 5 Kwiro boyz High School (Mahenge Morogoro) iliyojulikana km 'RUDI MKOA/dar imekupa kiburi'. Na mpaka sasa amefankiwa kurecord ngoma kadhaa nyingine.

Ngoma zilizo radioni ni Rudi Mkoa (Producer: Prince Jerlome), Tatizo Nini ft. Geof Master (Producer: Geof Master), Bado Napambana (Producer: Kona), Muziki ft. Aydream (Producer: Kona), Pembezoni ft. Nicolazo & Geofmaster (Producer: Geof Master)
Collabo song alizofanya ni Njoo Maskani by Saikax, Nilivyokujua by Raydream, Right moment by Gpro Mc, Upendo by Sonny Kitaa, Njiwa with Snniper Katili, Raydrem, Humph B, Chuo kikuu, na Frst Degree by Saut Mtwara All Starz, na nyingine kibao.
Mwakilishi huyu wa hii game ya HipHop anasema, ''Jamii imeshakuwa aware kwa kiasi fulan juu ya tenzi zangu za kuielimisha jamii''. ''Hisia zangu katika uandishi zinatokana na maisha ya kila siku ya binadam i.e watu wa tabaka la chini kama mimi.''
LABEL VIPI?
Chella mpaka sasa chayupo chini ya label yoyote na anasimamia kazi zake yeye mwenyewe na kama kundi pia.
MAISHA NJE YA MUZIKI
LABEL VIPI?
Chella mpaka sasa chayupo chini ya label yoyote na anasimamia kazi zake yeye mwenyewe na kama kundi pia.
MAISHA NJE YA MUZIKI
''Kwa sasa nipo Chuo cha Saut-Mtwara mwaka wa Pili nikichukua degree ya Education.''
''Kama mwanachuo jamii hainishangai sana kufanya muzik. Tuzidi peana support all producers, media, fans na wangu.'' ...Napenda sana hiphop.1 lv..
VIDEO: 'Rudi Mkoa''
''Kama mwanachuo jamii hainishangai sana kufanya muzik. Tuzidi peana support all producers, media, fans na wangu.'' ...Napenda sana hiphop.1 lv..
VIDEO: 'Rudi Mkoa''