Sunday, January 6, 2013

COVER LA 'CLOSER' YA VANESSA MDEE

Hii ndiyo cover ya ngoma mpya ya Vanessa Mdee ambayo inakwenda kwa jina la Closer inayotarajiwa kwenda hewani rasmi tarehe 11 hii january. Hii ni kazi kutoka katika Label ya BHitz. Kama shabiki wa mwanadafada Vanessa kaa mkao wa kula coz huu ndo ujio mpya kutoka kwa mwanadada Vanessa Mdee kaeni tayari.