Hizi ni picha tatu zinazotegemewa kuonekana katika Video Mpya Ya msanii mkali anaeiwakilisha Moro 'City Without Ocean' vizuri sana, BELLE 9
Video inaenda kwa jina la LISTEN na imefanywa chini ya chini ya Director
Nisher.
Video inatarajiwa kuwa hewania mapema mwaka huu.