Tuesday, September 10, 2013

YALIYOMSIBU JUSTIN BIEBER.

Justin Bieber avamiwa katika kumbi ya starehe huko Toronto, Canada.

Staa huyo mwenye miaka 19 a.k.a 'Baby singer' alikua akijiachia na wanaurab wakawaida tu wengine katika nightclub moja huko mjini Toronto mishale ya saa 3 asubuhi Jumamosi (31.08.13) ilipolipotiwa kuwa ghafla alivamiwa na mwanaume mmoja.

Mashuhuda wa tukio wamesema kijana huyo alimkamata na kumkunja shati Bieber kifuani na kujaribu kumpiga ngwala kabla mabaunsa hawajatokea kumdhibiti mwalifu huyo.

Raia uyo mwalifu alitolewa njee kwa nguvu na taarifa zinasema polisi hawakuitwa katika tukio hilo.
Wakati Justin Bieber hakuumia, alilipoti kupotelewa na cheni ya Dhabu yenye dhamani ya Dollar 40 000 katika mapambano hayo. Hii ni baada ya kushikiliwa na wanausalama wake katika kumzuia asijibu mapigo kwa mwalifu huyo baada ya
kutaka kupigana nae.


(CHANZO CHA HABARI: Famous Magazine)