Kakaa chonjo kuskia ukwel wa sakata zima la Mbunge na 'Nguli wa michano' Joseph Mbiliny
i maarufu kama SUGU kwakua atatiririka yemwenyewe pale kati Jimboni mwake Jumamosi hii.
"Baada ya purukushani zilizotokea Bungeni wiki
iliyopita kati ya polisi wa bunge, Naibu spika na
Joseph Mbilinyi, Mbunge huyo wa Mbeya mjini
amesema jumamosi hii atawahutubia wananchi wa
jimboni kwake kufafanua kilichotokea na kuelezea
(udwanzi) wa Naibu Spika Ndugai.
" - E.A Radio Facebook Page.