HarakatI za kweli toka memba wa LivagoSTUDIO, FaceDog ndio zinazoendelea katika chimbo la crew ya Livago.
Kaa mkao wa kula HipHop fleva toka mkali huyo akimshirikisha Amasisho.
Track: MWENYEZI KABARIKI.
Artist: FACEDOG ft. AMASISHO.
Production: LiVAGO STUDiOZ.
Producer: KingSWAGGER.