Wednesday, April 17, 2013

KIVAZI CHA BEYONCE CHA MAKE HEADLINE.

Katika hali ya 'aina' yake, Mrs. Carter Tour ya mwanamama mwimbaji gwiji, Beyonce, imezua minong'ono mingi katika mitandao.
Yasemwayo yote ni kutokana na kivazi alichotupia msanii huyo katika show yake hiyo huko Belgrade, Serbia siku ya jumatatu kwenye usiku wake wa kwanza wa mfululizo wa show zake za Mrs. Carter Tour.

|News kwa Hisani ya Mtandao|