Friday, April 19, 2013

ILE SAUTI YA DADA MILLION 13....

Yani kama James Bond eyti, si vile alivyomrecord Wema, mwenyewe Platnumz na ndo talkof town. here it it:

zile ''acha wewe! siwezi! aikuwa lizik'', si ndo izi apa tena
.........Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale 
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life
TEAMMakolokocho