Tuesday, January 8, 2013

SONGA MBELE KUMLEJESHA HAFSA KAZINJA

Msaani mkonge hapa nchini, Hafsa Kazinja, kwa muda mrefu sasa amekua kimya. Na njaa ya mashabiki wake imezidi kuongezeka. [Je, huo ndo mwisho wake?]
Kwa mujibu wa newz toka ktk blog ya Presenter wa LeoTena ya CloudsFM, Dina Marios, msanii huyo siku za hivi karibuni amekuwa nchini Marekani kwa show maalumu alizoalikwa kufanya huko.
Mambo Mapya.
Hafsa, kwa sasa anatarajiwa kuajia wimbo wake mpya unaitwa 'Songa mbele', ambaoutausikia sana katika media zetu kwan anakubalika sana.