"Wakali Wa Media TZ ni Watu wenye kutoa Support kwa Wasanii wa Mziki wa Kizazi Kipya hata kilichopita na kuPUSH Undergrounds hadi kufika Level Nzuri.''
Music Industry ya Tanzania bado ipo level ya kawaida na usawa wa kazi za wasanii wetu bado haujathaminiwa, hivyo wewe kama mwanaharakati huna budi kuithamini radha bore ya nyumbani.
Harakati hizi za Wakali wa Media ni haswa katika kurequest ngoma kwenye media ili nawe ujue ni nani na lipi ni jipya katika industry yetu ya Bongo.
to mention a few; Mtoto wa vitoto, Kibeiby, Daga boy, TalaVencha, Mubaraq Jembe 'MuxB', Ummy Kitwana n.k hutakosa kuskia request zao ktk radiosegments kama PressPlay, TotalRequest n.k.
iskilize ngoma yao Wakali hapo chini. djZburudani™
iskilize ngoma yao Wakali hapo chini. djZburudani™



