Thursday, January 3, 2013

DiVA LOVENESS FRONTPAGE KTK MzukaMagazine.


Mzuka Magazine ni gazeti jipya la Bongo5.com mtandao wa burudani.
Toleo jipya la Disemba 2012 limesheheni habari motomoto, 'BUT' burudani zaidi ni Front Page, limepambwa na presenter wa Clouds FM, Diva Loveness Love 'in some sexy lingerie ....living a little to imagination...'
Na katika web yake Diva mwenyewe, divaakamimi.wordpress.com akapost, ''ooooo Excited for the FrontPage am In tears now..... thank u Bongo5 Jamani. Luca My brother!. Nancy Sumari,MxCarter,AkbarThabeet and the team..... Happy New Years Make Sure u get your copy.''

Page Photography by: Slide Visuals (Michael Mlingwa Mx & Akbar Thabeet)


djZburudani