Thursday, June 25, 2015

VIDEO ZENYE ASILIA YA UAFRIKA

Katika zile burudani unazopata kila siku najua ushakutana na video za wanamuziki wakubwa hapa barani kwetu Africa na utakubaliana na mimi wengi uingiza mandhari za kiulaya na mtindo wa kimaisha wa ughaibuni.

Hapa nakurudisha upate radha asilia na ule mtindo wa kikwetukwetu zaidi. Take your time uzicheki hizi nlizokukusanyia kwa leo.


Friday, April 10, 2015

HABARI YA SELFIE

Katika zile harakati za kukuhabarisha na kuhakikisha unaburudika katika rangi nzuri hapa nimekuwekea picha zinazoitwa kwa jina maarufu 'SELFIES'.
 Kama ulidhani ni wewe pekee unayependa mtindo huu wa picha basi hii ndo habari, wanajeshi nao ni noma kwa selfie....



Kiongozi wa serikari, Benjamin Netanyau na askari wake


Askari wa kikosi cha anga cha uswizi


Askari wa kujitolea na mpenzi wake uko Kiev