Thursday, June 25, 2015

VIDEO ZENYE ASILIA YA UAFRIKA

Katika zile burudani unazopata kila siku najua ushakutana na video za wanamuziki wakubwa hapa barani kwetu Africa na utakubaliana na mimi wengi uingiza mandhari za kiulaya na mtindo wa kimaisha wa ughaibuni.

Hapa nakurudisha upate radha asilia na ule mtindo wa kikwetukwetu zaidi. Take your time uzicheki hizi nlizokukusanyia kwa leo.