Wednesday, January 8, 2014

NJE YA BOX VIDEO MAKING

Hizi ni baadhi ya picha zikimwonyesha nguli, Mwamba wa Kaskazini Joh Makini katika mapozi mbalimbali wakati wa upigaji picha za kichupa chake kipya cha hit ya "Nje ya Box"