Tuesday, December 24, 2013

UMEISIKIA 'ANNUAL HOLIDAY TOY DRIVE' YA C. BRIZZY?

This Christmas” Hit maker Chriss Brown, ametumia muda wake kuwapa watoto zawadi za Christmas ikiwemo toys na vitu vingine.





Hii ni annual holiday toy drive ya kwanza C brown kwenye projects za Brooklyn ikiwa ni njia moja wapo ya kuwakumbuka watoto hasa kipindi hiki cha sikukuu.
“Thank you to all the fans who brought gifts for the kids today. Have a wonderful holiday. You’ve made a merry Christmas for a young child!” hayo ni maneno ya Chris Brown akiwashukuru watu walioleta toys kuungana naye kuwapa zawadi watoto.
Support kubwa ilitoka kwa Kelvin Hart na Tyga.