Friday, June 21, 2013

Lebron James Aipa Timu yake NBA Championship 2013

" The Miami Heat have done it again."
Yes ni
game 7 Chini ya King Lebron James, Miami
Heat imeondoka na Points 95 Kwa 88 za San
Antonio Spurs. Lebron ametoka na Point
37. Wade nae ametoka na point 23,
rebounds 10 , Shane Battier ana points 18.
Mpaka sasa Lebron ni Mshindi wa NBA Mara
mbili na MVP Mara Mbili.

The Spurs wameongozwa na Tim Duncan
akiwa na points 24, rebounds 12 na Kawhi
Leonard ametoka na point 19 na rebounds
16 , Manu Ginobili ametoka na points 18.