Huwezi amini hawa watu hawajawahi kukutana hata siku moja, kazi imefanyika kwasababu tu kila mmoja anaelewakazi anazofanya mwenzioe, na Wyre aliingiza sauti katika studio za huko huko Kenya na kumtumia vocal Linex ambapo producer Mswaki ndio aliimalizia kumix vocal hizo, huku beat ikiwa imetumwa kutoka kwa Fundi Samweli
Singo hiyo aliyoifanya na Wyre kutoka Kenya sasa iko tayari. Ngoma ishafanyika na ndio hii hapa ishatoka.