Pata sikia hii:
...Timu ya mpira wa miguu ya Tanzanian, Taifa Stars, watapatakutokelezea katika mtoko wa suti hizi za mwanamitindo Sheria Ngowi.
Akionyesha picha ya kwanza kabisa ya mtoko huo wa hadhi, Sheria Ngowi aliandika katika ukurasa wake wa twitter: "It's Official:Tanzania Football team (Taifa Stars) Dressed By Sheria Ngowi."