Sunday, January 6, 2013

WEEKLY ROUNDUP

chatch up with djZnewziroolin down;
#10. Mansu-li azindua Album Yake ya 'KINA KIREFU' (5.1.2013)

-Msanii wa muziki wa miondoko ya rap/hiphop, maarufu kama Mansu-li, jana siku ya jumamosi alizindua Album ya iendayo kwa jina la Kina Kirefu.
Shughuli ilikua katika club ya Kakala Kigamboni, Dar es Salaam.
Wakali waliomsindikiza kwenye stage ni pamoja na JayMoe, OneIncredible na Ngwear.






#09. Blogs Zatoa Kali Zilizopendwa.
       -ktk issamichuzi.blogspot akizitaja kama 'Azipendazo Anko' akawapata wapenzi wake ngoma; ''Gere' ya Killimanjaro Jazz Band na ''Asha' ya TaboraJazzBand.(http://issamichuzi.blogspot.com/2013/01/ngoma-azipendazo-ankal-kizazi-kipya_6.html)
  Napo ktk millardayo, list ilitambulishwa kama ''..niambie kamam moja kati ya izi video inakukumbusha mbali" (http://millardayo.com/memories/)

#08. Toka Facebuku ya Mwanawani Masanja.
   -Wapendanao walienda likizo mkoani MWANZA , waliamua kujipumzisha katika HOTELi ilioyo Kua karibu na ZIWA , MUME alipenda sana Kuvua Samaki wakati MKE yeye Hupendelea Kukaa Chini na Kujisomea Story za NYEMO CHILOGAN ,Hoteli ilikuwa na Boti mojaa kwa ajili ya Wageni wa Hoteli hiyoo kazi yake ilikuwa kuvua na kutaliii Talii Hapo Ziwani. Siku Moja Asubuhi MUME alienda Ziwanii na Boti Hiyoo Katembeaa tembea Ziwani na kuvuaa Samaki wawili watatu , kisha akarudi Hotelini Hapo , MKE aliamua kupanda BOTI na kuiwasha nakwenda zake ziwani kuangalia Mazingira pembezoni japo hakujuaa wapi aendapo , Mara gaflaa alisimamishwa na ASKARI aliekuwa pembezoni akamuuliza , Hebu Paki kwanza Pembeni Hii Boti na usizidi Kwenda Mbalii .... "kwanza Kabisaa Shikamoo Mama ! waweza niambia Unafanya nini sasa Hivi hapo ulipo ? " " nina Soma Kitabu " alimjibu askari huku akimuonesha Kitabu mbele Ya Boti  " Hapo ulipo Upo Unavuaa Samaki Sehemu ambayo huzuiwa Ziwani , ni PRIVATE area , eneo la jeshi la polisi " "lakini Baba Si unaona Mie Sivui Samaki ! si unaona Mwenyewe , sasa Mie kosa Langu nini?" " lakini mie nakuona unavifaa vyotee vya kuvulia Samaki kwenye hii BOTI, Kwakweli naomba ushuke twende Kituoni Kwa Taarifaa zaidi na kuna faini Ya kulipia na maelezo ya Boti nishachukuaa " " Ukifanya Hivyoo kaka Yangu nitafungua Kesi kuwa ULINIBAKA Katika Boti " alisema Mwanamke huyoo " Hee wewe mie Hata kukugusa sijakugusaaa " alisemaaa Askari huyoo wa Usalama. " Hiyoo ni kweli Kabisaa ASKARI .....Lakini Si vifaa Vyote Vya Kunibaka Unavyoo ??? "


#07. Yanga yadro ktk mechi Uturuki (5.1.2013)
Wachezaji wa Yanga Wakpata msosi wa Jioni.
       -Wakiwa nchini Uturuki, wamecheza mechi na timu ya Arminia Bielefeld ya Ugerumani na kutoka sulu ya 1-1 goli pekee la Yanga likiwekwa kimyani na Jerry Tegete.











#06 Mafuliko Mkoani Mtwara. (5.1.2013)
     -Mvua ilionyesha tarehe 4 Mikindani Mkoani Mtwara ilisababisha hali ya sintokujua baada ya kusababisha mafuliko makubwa kama yanavyoonekana ktk picha.















#05. Hosp. ya AghaKhan yakabidhiwa Ambulance za Kisasa (5.1.2013)
 - ktk kuboresha Afya ya mama na mtoto, Ndege Medics ilikabithi Ambulance kwa Hospitali ya Aga Khan jijini Dar ikiwa ni sehemu ya mradi Endelevu utakaohusisha Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Iringa, Mbeya na Morogoro kwa ajili ya kuboresha Afya ya Mama Mjamzito na Mtoto.





#04. 'DiVA' LovenessLove LiveonAir. (6.1.2013)
  - Siku ya jumamosi tarehe 5, kupitia 102.5ChoiceFM, mwanadada Diva 'kamamimi' alisikilizwa na wapenzi mashabiki wake akipreeplay hitlist yake yangoma 20.







#03 Barua Ya ROMA kwa Fans.
   - Baaada ya kuachia ngoma ya 2030 na mambo kwenda ndivyosivyo, Haya ndiyo aliosema mkali uyo:
Habari mabibi na mabwana!! poleni na mihangaiko ya siku!! Naam
ijumaa iliyopita nilitoa kibao changu maridhawa kipya kabisa kinaitwa 2030!!!
na nilikiachia kwa radio stations zote nchini kadri ya uwezo wangu/wetu, though kutokana na mawasiliano ni ngumu kufikia radio zote kwa wakati, ila nyingi ziliupata!!! Lakini niliweka utaratibu fulani kwa watakaohitaji kuupata hu...
o wimbo 2030 mbali na radio basi wataupata kwa kussuport kuununua on line kwa tsh 3000/=!! nilishatangaza sana mnafahamu! Ilikuwa ni trial ya kuona nani ana love ya kussuport na nani hana kupitia njia zilizowekwa na sio njia nyingine.  Zoezi limeenda kwa challenge nyingi sana asante wote waliossuport katika hili, pia asante kwa wale walioliharibu zoezi hili maana imenifanya nimtambue hu z real na hu z fake!!! Imeniuma kuona wapo wasanii wanafanya biashara kama hii wanauza mix tapes, album,tisherts zikiwa zote ni movements za kuleta changes ktk mziki wetu, then hao hao wanakuwa mstari wa mbele kupinga hii movement yangu halafu bila sababu yani dah SHALL WE MAKE IT????? Nway lilikuwa ni zoezi lililopangwa kufanyika kwa week moja 1 tu ili kuona na kufanya tathmini kuwa yanawezekana haya?najua wengi wanasubiri feed back ya mauzo haya haikuwa nzuri sana kwa wingi wa nyomi nililokuwa nalo, lakini pia haikuwa mbaya maana ni mageni haya.. Kwa siku 7 za mauzo ilikuwa kila siku wananunua watu wasiopungua 50!! so unaweza ona hapo kuwa yanawezekana haya tukiyawekea mkazo...ILA SIAMINI KAMA KILA MSANII ANAWEZA FANYA, INATEGEMEA NA NGUVU YA MSANII HUSIKA NA KIBAO ALICHOKITOA..(IFIKIE KIPINDI TUONGEE UKWELI TUU!!) Wengi wameanza kufanya biashara kupitia nyimbo hii na inawanufaisha wao, wengi wamerecord kupitia radio wimbo huu kitu kilichopelekea kukosa quality na bado wanauzia wengine so wanapewa kitu kisicho na quality, pia wengi wanakwazika na mengi yaliyoongelewa ndani ya wimbo huu na wanakosa majibu maana wanakosa fursa ya kuusikia mara kwa mara kwasababu hawajaunga mkono hii movement!! au pengine imekuwa ni njia ngumu kwao kuupata. Basi kwa wale waliossuport kwa kuinunua nawashukuru sana na mungu awaongezee mlipopungukiwa, najua litatokea hili la kujiona wanyonge kuwa ROMA amechukua fedha zetu na kisha ameachia bure, mi naamini ukiwa muelewa na ukiona nilichokisema hapo juu hautakwazika as long umeonyesha lav yako kwa msanii unayemfeel, samahani sana kama nitakuwa nimekukosea,nimefanya hivi kama kuanzisha hiki kitu na naamini wengine watafatia na kukiboresha zaidi!!LAZIMA APOTEE MMOJA ILI KUMI WAISHI VEMA NDIPO YATAPATIKANA MAENDELEO!! AM SO SORRY!!!  So leo wiki imetimia na wimbo umetoka rasmi na hauuzwi tena kama ilivyotangazwa awali, unapatikana bure kwenye net, download via access yoyote utakayoiona!! nimeutoa rasmi kwenye blogs mbali mbali ANZIA NA YA DJ CHOKA, na nyinginezo!! Na version iliyopita kuchezwa radio ni version ya ROMA ile beat yake iliyochangamka ambayo ni version ya 1 ambayo ndiyo ilikuwa ya kwanza kutambulishwa ijumaa pale clouds fm radio. Kwa maswali zaidi tutameet kwenye mainterviewz huko maradioni na tutawekana sawa!! samahanini kwa wote niliowakwaza, asanteni kwa wote mliossuport!!
ROMA 2030 INAPATIKANA FREE SASA!!!

#02 Sababu ya Ommy Dimpoz Kutomtangaza Demu wake.
    - "Maisha ya kimapenzi yako private sana kwangu mimi, lakini itakapofikia time watu wataweza kuelewa, ninachoogopa saa hizi ni kwamba ninaweza nikawatambulisha huyu, kumbe ninayemtambulisha ye....


#01  Jaji Warioba: "Raisi Hakusema Jipya Juu Ya Katiba" (6.1.2013)
     -Akiongea na waandishi wa Habari kwenye ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba, mwenyekiti Jaji mstaafu Warioba alisema Raisi hakusema jipya kuhusu katiba.








#00.  Raisi Mh. JK aongoza mamia ktk kumzika SAJUKI. (4.1.2013)