Staa wa Tottenham toka Togo, Emmanuel Adebayor amefanya mabadiliko ya uwamuzi wa moyo dakika za mwisho na kuamua ashiriki mashindano yaKombe la Mataifa Huru ya Afrika hapo baadae mwezi huu, hizi ripoti ni kwa mujibu wa viongozi wa chama cha mpira nchini Togo. Hapo awali straika huyo alipanga kuyakacha mashindano hayo ya Januari 19-Februari 10.
Mabingwa wa Soka Africa Zambia wamambulia kichapo cha tatu mfululizo baada ya kupoteza 2-0 kwa Angola siku ya Jumamosi ktk mechi ya changamsha damu. Strikea Geraldo, anaeichezea timu ya daraja la pili Brazil, Parana, ndiye alieanza kuifungia Angola dakika ya 8 ya mchezo ktk uwanja wa Dobsonville na kisha mlinzi Amaro toka Primeiro Agosto akafunga matokeo ya 2-0 dakika tano za mwisho wa mchezo. Hapo awali alipoteza mechi kati ya Saudi Arabia na kisha kwa Tanzania.

Katika kikosi cha kocha Sabri Lamouchi cha wachezaji 23 kitakacho shuka bondenikwenye mashindano ya Orange 2013 AFCON, maangamizi ya Tembo hao wa Africa yataongozwa na mastaa Drogba and Yaya Toure. Hapo awali kikosi chenye majelui wachach kilienda kuweka kambi ya maandalizi in Abu Dhabi. Wachezaji sita ndio mara yao ya kwanza kuitwa kikosinitofauti na kikosi cha mwaka jana. Hao ni golikipa Ali Badra Sangare, viungo Abdul Razak na Romaric, pamoja na washambuliaji Lacina Traore na Arouna Kone.
HII NI RATIBA YA MECHI ZA AWALI.