Mabondia Omary Ramadhani kushoto na Deo Njiku wakitunishiana misuri.
Hili ni tukio la baada ya kusaini mkataba kupigania ubingwa wa Tanzania PST siku ya February 14 katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese.
[picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com]