Picha ikiwaonyesha wanaXXL na msanii wa Bongo Fleva kutoka Mbeya city alimaarufu kama Izzo Busness siku ya leo baada ya kutambulisha rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Ball player. Izzo B alienda na kitu cha champagne.
Wakati ngoma hiyo mpya inaachiwa, Izzo B kupitia mtandao wa Instagram aliandika "Leo tunaibless ngoma na Champagne koz we r ball players,"
Wakati ngoma hiyo mpya inaachiwa, Izzo B kupitia mtandao wa Instagram aliandika "Leo tunaibless ngoma na Champagne koz we r ball players,"