Monday, January 7, 2013

BABY GiRL TO MERCY JOHNSON.

Star Mercy Johnson toka Nollywood Nigeria aliyetamba na Movie ya 'The Maid' na mke wa Odianose Okojie, furaha yao ya kuuaga mwaka 2012 ilizidishwa baada ya kujifungua Baby wa Kike.
Akiwa katika top 20 ya wasanii bora 2012, alifanikiwa jukifungua salama katika hospitali ya John Hopkins huko Baltimore Marekani.