Monday, December 3, 2012

Mkandamizaji on fesibuku!

Masanja Mkandamizaji: Mwalimu wa Historia, "Eeeenhee
Wanafunzi, hivi ni nani alimuua Chifu
Mkwawa?" Mwanafunzi wa Kwanza, "Aku sio
Mimi!!" Mwanafunzi wa Pili, "Walah sihhusiki
hata kidogo!!" Mwanafunzi wa Tatu, "Kwanza mie jana
sikuja Shule!!" Kutokana na majibu hayo, Mwalimu
akaona ana Darasa la Majuha na ikabidi
aende Ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule
ili ampatie hiyo taarifa!! Mwalimu Mkuu kuambiwa hivyo ikabidi
nae aende kwenye hilo Darasa
kuwahoji juu la lile Swali na Majibu
yakawa ni yale yale!! Mwalimu Mkuu akamuita Mwalimu
wake pembeni na kumuuliza, "Lakini
Mwalimu una uhakika kuwa huyo
Muuaji yupo kwenye Darasa hili kweli!!
2 hours ago · · Like · Share · Report 399 people like this.

COMMENTS
Fatuma Mfinanga: bac hyo ni shule ya majuha

Luciano Samson: Daaaaaa!!! Kuna haja ya kufundisha
tena shule hiyo maana mpaka mwalim mkuu zuzu

Ramadhan Mohammed: hahhaha.............teh teh teh teh ...hahaaa
hellooooooooooo

Aggy Mugy: Mnatoa maoni yenu kwa sababu
mlifundishwa , msidharau na
kudhalilisha taaluma ya UALIMU.