Sunday, June 3, 2012

''USIKU WA SUGU'' MR.II KUITEKA DAR LIVE J'PILI HII

Ni usiku wa kukata na shoka ambapo mzeiya II - Sugu, akisindikizwa na wakali kibao akiwemo Kiroboto - J. Nature atafanya makamuzi LIVE pale kwny bonge la stage Dar Live.

**Si ya Kukosa m2wangu**