Friday, May 25, 2012

UMISETA 2012.

MASHINDANO YA UMISET NGAZI YA WILAYA





Mashindano ya Umiseta yanayoshirikisha wanafunzi wa shule za Sekondari kanda ya Mwanza hatua ya Wilaya yakiendelea katika viwanja vya Bwiru Wavulana Sekondari.

Mashindano yaho yaliyoanza tarehe 23/5 na kuitimishwa 24/5 baada ya washiriki watakayoiwakilisha wilaya ya Mwanza Mjini kuchaguliwa, yalishirikisha michezo ya Mpira wa mguu kwa pande zote; wanaume na wanawake, Netball, Volleyball, Riadha, Kuruka mchangani n.k.